Ni hakika mabadiliko ya kweli yamefika Nzega asilimia 90% ya nafasi za serikali za mitaa zimeshikwa na UKAWA na hii inatupa picha halisi ya uchaguzi mkuu 2015!ni hakika kauli mbiu ya ukawa "DELETE CCM" imeanza kutimia!
Walau kwa 90% ina onesha kuwa ni mitaa mingi imechukuliwa na UKAWA. Hata kama majina ya mtaa hujayataja, asilimia uliyoitoa inaleta picha fulani ya ushindi wa UKAWA. Ahsante kwa taarifa...!!!!!