Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 210
Wana JF,
Hata kama TV station hatakiwi kuingiliwa kwenye mipango ya either ni habari ipi irushwe na ipi isirushwe, ila kwa hili la Leo Channel Ten wamenishangaza sana.
TV station zinafunguliwa kwa ajiri ya watazamaji wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, ukabila, udini n.K
TV station inapoanza kubagua kuwa habari hii irushwe na hii isirushwe bila kujali habari hiyo ina interest gani kwa watazamaji nadhani hilo kinakuwa ni tatizo.
Hivi ni kweli kwamba yaliyokuwa yanaendelea mkoani mbeya pale ambapo mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA ndg. E. Lowasa alikuwa anatambulishwa rasmi Leo Jijini Mbeya, kwa Channel Ten hii kwao si habari ya kuirusha ili watazamaji waione ilivyo kuwa???
Au ndo tuseme na TV station hii sasa imekuwa na mrengo mwingine na imeingia kwenye siasa za nchi hii rasmi??
Kama hivyo ndivyo basi UKAWA wajipange maana hii vita ni kubwa.
acha upuuz wenu hivi unajua na JPM yupo mikoan kusaka wadhamin na taarfa zake hazrushwi... achen ulimbuken sio kila siku lowasa lowasa na tutamkata tena. Mbona hamjawahi kuhoj kwa nn ITV hairushag taarfa za ZZK pamoja na kuwa watu hufurika? hii ndio tv ya ukanda na ukabila ishakua km TBC ya ccm.Fisad wakubwa
Wana JF,
Hata kama TV station hatakiwi kuingiliwa kwenye mipango ya either ni habari ipi irushwe na ipi isirushwe, ila kwa hili la Leo Channel Ten wamenishangaza sana.
TV station zinafunguliwa kwa ajiri ya watazamaji wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, ukabila, udini n.K
TV station inapoanza kubagua kuwa habari hii irushwe na hii isirushwe bila kujali habari hiyo ina interest gani kwa watazamaji nadhani hilo kinakuwa ni tatizo.
Hivi ni kweli kwamba yaliyokuwa yanaendelea mkoani mbeya pale ambapo mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA ndg. E. Lowasa alikuwa anatambulishwa rasmi Leo Jijini Mbeya, kwa Channel Ten hii kwao si habari ya kuirusha ili watazamaji waione ilivyo kuwa???
Au ndo tuseme na TV station hii sasa imekuwa na mrengo mwingine na imeingia kwenye siasa za nchi hii rasmi??
Kama hivyo ndivyo basi UKAWA wajipange maana hii vita ni kubwa.
Kipindi kile ilivyokuwa inatangaza safari ya matumaini mliitukana sana.
Chanel 10 wamejitambua hawataki safari hewa!
Mi nadhani ungejenga hoja tu mama kuliko kutokwa mapovu tafadhali!
Hoja gani bib unaitaka zaidi ya hiyo au unadhani hujengwa na matofali na saruji
Nadhani ungeanza na ITV kwanza maana ndio kampen manager wa ED
Acha kulia lia kama hawaonyeshi habari unayotaka kuiona badilisha chaneli, unajua wanapata habari ngapi kwa siku?