UKAWA chungeni vinywa vyenu

Acha nidhamu za woga.

Mkuu sio nidham ya woga!!! Ni angalizo, ukawa ni more than Chadema na makada wake!! Its its an advice for the good survival of ukawa. Viva ukawa
 
vipi kuhusu Mulugo kilaza
 
Mkuu LEMA ni "msomi", ukiangalia kwenye tovuti ya Bunge, CV yake inaonyesha kuwa "amehitimu" Bachelor degree kutoka chuo kikuu cha Cambridge! Pia amewahi kuandika kitabu mwaka 2009, kiitwacho MSAADA WA HARAKA KUTOKA KWENYE BIBLIA.
 
Kama ameweza kukuongoza wewe Arusha kwanini asiweze na hilo jingine?
 
by Ritz;
Lema ukikaa na wahuni wenzako wa Arusha unajidanganya sana umefikia mahala unawaza kuliongoza Jeshi letu la Tanzania wakati uwezo hauna.

Jeshi letu limejaa watu makini wenye weledi na wasomi jeshi siyo tawi la Bavicha.

Hivi Lema leo hii unatamani kuwa waziri kwa elimu gani uliyo nayo.

Ritz, hawa mawaziri wenu wana elimu gani?

~Lukuvi
~Mulugo
~Juma nkhamia n.k
 
Last edited by a moderator:

Elimu ya muungano wa visiwa vya zimbabwe na Tanganyika mwaka 11964
 
MSAADA WA HARAKA KUTOKA KWENYE BIBLIA......teh teh teh ,Huyu mwizi wa magari amenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…