Red Brigade wana ujuzi kuliko Polisi,hakutakuwa na tatizo.Lema siku akiwa waziri wa ulinzi silaha zote atazigawa kwa Red Brigade.
Lema siku akiwa waziri wa ulinzi silaha zote atazigawa kwa Red Brigade.
Red Brigade wana ujuzi kuliko Polisi,hakutakuwa na tatizo.
Kwa jinsi watanzania wanavyolia na kusaga meno, kwakweli tumeongozwa na wajinga. Mbaya zaidi wajinga hao hao wapo kwenye vikao dodoma wakitaka kuja kutuongoza tena. Tumesema HAPANA. Sasa ni zamu ya werevu kutuongozaKuna hali ya wajinga kutamani kuwaongoza werevu,kitu ambacho Lema anashindwa kukielewa ni kuwa majeshi yetu yana wasomi na werevu wa hali ya juu na asikae hata siku moja akafikiri kuwa hizi political post ni kila kitu.
Akiwaomba green guard nao wapewe silaha utakataa?
Ndio tatizo la kuanza na kiroba kabla ya chai
Silaha zetu ni HOJA na WEREVU WA MAMBO
Viroba vinachangia 20% ya collection ya TRA
Werevu kina nani Lema na Mbowe?Kwa jinsi watanzania wanavyolia na kusaga meno, kwakweli tumeongozwa na wajinga. Mbaya zaidi wajinga hao hao wapo kwenye vikao dodoma wakitaka kuja kutuongoza tena. Tumesema HAPANA. Sasa ni zamu ya werevu kutuongoza
Makada na viongozi wanatakiwa kuchunga sana ndimi zao wakati huu ambao Watanzania wengi wamekuwa na tumaini nao. Hata kama wameisha gawana majimbo na vyeo vya serikali yao lakini si muda muafaka wa kujipambanua.
Mfano mzuri ni ndugu Godbless Lema kwa kile alichokisema bungeni kuwa yeye ndo next waziri wa ulinzi. Wenye uelewa watakuwa wamemuelewa kuwa alikuwa anafanya siasa, lakini yale maneno yanaweza kutumika kumchafua yeye chama chake na ukawa kwa ujumla.
So pls chungeni ndimi zenu wanaukawa.
Huo ni mtazamo na maoni yangu.
Makada na viongozi wanatakiwa kuchunga sana ndimi zao wakati huu ambao Watanzania wengi wamekuwa na tumaini nao. Hata kama wameisha gawana majimbo na vyeo vya serikali yao lakini si muda muafaka wa kujipambanua.
Mfano mzuri ni ndugu Godbless Lema kwa kile alichokisema bungeni kuwa yeye ndo next waziri wa ulinzi. Wenye uelewa watakuwa wamemuelewa kuwa alikuwa anafanya siasa, lakini yale maneno yanaweza kutumika kumchafua yeye chama chake na ukawa kwa ujumla.
So pls chungeni ndimi zenu wanaukawa.
Huo ni mtazamo na maoni yangu.
Lema ukikaa na wahuni wenzako wa Arusha unajidanganya sana umefikia mahala unawaza kuliongoza Jeshi letu la Tanzania wakati uwezo hauna.
Jeshi letu limejaa watu makini wenye weledi na wasomi jeshi siyo tawi la Bavicha.
Hivi Lema leo hii unatamani kuwa waziri kwa elimu gani uliyo nayo.
Kwa jinsi watanzania wanavyolia na kusaga meno, kwakweli tumeongozwa na wajinga. Mbaya zaidi wajinga hao hao wapo kwenye vikao dodoma wakitaka kuja kutuongoza tena. Tumesema HAPANA. Sasa ni zamu ya werevu kutuongoza
Hilo nimeshaaa liona jamaaa wao wanajiona ndio ukawa bila kujua , vyama vingine vipo au havipo,mfano NASSARI alisema atamuomba SLAA ampe uwaziri wa mambo ya ndani japo kwa wiki 2 . Hii inaonyesha slaa ndiye atagombea huo uraisi , LISSU pia alisema akiwa mosh SLAA ndiye raisi
Ninauhakika fika unatamani mabadiliko (hata mimi pia) lakini unatambua viongozi mahiri na imara bado wapo CCM.
Rais wako 2015 ni Lowassa
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.