UKAWA Arusha imeachwa with confusion and disorganisation

Hawa maccm yaache yajidanganye yenyewe yanasomba watu mikoa zaidi ya mitatu hlf wanafurahi. Viva Lowassa the president
 
Kisa cha kuachwa UKIWA ni nini? KUMBUKA UKUBWA WA PUA SIO WINGI WA KAMASI.
 
mkuu hao jamaa hawataamini macho yao kitakachowakuta hiyo octoba 25. wanafikiri watanzania wote ni mazuzu.

 
Karibu Arusha kesho. Njoo uone tofauti ya Fiesta na mkutano.Halafu ulizia moshi leo nini kimetokea.Mambo ni mazito.Ulizia polisi wakueleze wanachotaka watu ni mabadiliko.

Mtarusha kwenye tv gani nataka kumsikiliza mgombea sera zake za Dr.John nimeshazisikia sana nataka kumsikia babu naye analipi namumpe muda wa kutosha siyo dk5.
 
Mleta mada,tunaendelea kusisitiza kuwa ccm hakuna arusha.

Njooni bila wasanii na bila kugawa pesa kama hamjafanywa kama monduli.
 
Mleta mada,tunaendelea kusisitiza kuwa ccm hakuna arusha.

Njooni bila wasanii na bila kugawa pesa kama hamjafanywa kama monduli.

Ha ha umepaniki mzee.
Aliyofanya magufuli Arusha hayakutegemewa.
Ccm ipo, unadhani ule mkutano na waliouandaa na walikuwa wanausikiliza ni chadema?
Jifikirie upya mzee.
Afu ujipange sana.

Maandalizi ya mkutano wa magfuli ulipigwa kimya kimya kwa promo ya kishkaji. Makamanda wakashtuka kushajaa maana waliamini hawezi pata watu arusha mjini.

Angalia promo ya kuita watu kwenye mkutano wa Lowassa gari zimetangaza zaidi ya mara 3 hapa kaloleni. Yaani nguvu kubwa ya nini wakati Arusha ni ngome ya makamanda na ni kiwanja cha nyumbani???

Afu kumbuka nguvu ya lowassa arusha sio kubwa kivile.
Alivyokuja kutangaza nia arusha alijaza uwanja kwa kusafirisha watu. Wakazi wa arusha walikuwa wachache sana mkutano ule.
 
kwanza ukiona mikutano ya lowassa hiyo ya kufuli sio nyomi..
pili ni watu waliosafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi KWA KUTUMIA FEDHA ZA SERIKALI,ili kueneza propaganda kwamba eti bondia mcheza viduku anakubalika..
kule Monduli bondia alipuuzwa na kuona aibu..

sasa jibu la hilo utapata leo..
 

Attachments

  • 1444273786678.jpg
    8.3 KB · Views: 198
bondia alivyoaibika tena monduli.
 

Attachments

  • 1444273964545.jpg
    69.6 KB · Views: 203

Mkuu naona lugha yako wataielewa zaidi.
 
Wewe kwani ni mkazi wa arusha? Au ulikuja tu kama house girl? Mimi ndo mkazi wa arusha na nasema, chuga yote ni EL
 
Lowassa ni Raisi Makufuli ameweka historia tu ya kugombea Urais
 

Mtaj wa mjinga ni nn vilee....?
 
Last edited by a moderator:

Tumia septrini inazuia kuharisha na kutapika
 
siasa si hasa bali ni visa na mikasa wacha visa vya fisiemu viendelee lakin mabadiliko lazima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…