Ukatili wa ndoa!

mlevi sugu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,980
Reaction score
3,866
Ndoa imekuwa ni jukwaa la ukatili.ni jukwaa la mateso.ni jukwaa la maafa.ni jukwaa lilojaa uovu wa kishetani.kwa ujumla ndoa ni sawasawa na laana iliyojaa tabu.
 
Shetani anatamani ndoa zivunjike, cha msingi kabidhi maisha yako kwa Mungu na uishi kwa maelekezo yake kamwe utaishi kwa furaha ndani ya ndoa (Zingatia wote muwe na msingi sawa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…