Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,329
- 144,782
UnachekeshaUkatili wa Assad umepitiliza kabisa viwango vyote vya ukatili duniani.
Find a micro penis to fellate.Unachekesha
A benevolent dictatorship is a government that has a leader considered by some as a dictator but has the support of the people, unlike a malevolent dictator who only focuses on them selves, their government and their supporters. In benevolent dictatorships, there is some freedom of speech and democracy.Yaani Mimi hata Gadaf Huwa nawashangaa sana wanaosema alionewa. Hawa madikteta ni makatiri sana .
Je, haijapata kuandikwa ya kwamba mamlaka zote hutoka kwa Muumba? Tena andiko lile hali-categorize ila lataja tu mamlaka bila sifa za ziada?....Roho za ushetani zinazowapa mamlaka ndo hizo zinazowafanya wawafanyie wanadamu wenzao ushenzi Kama huoo.
Kwa macho anapendeza ila Roho chafu haitazamiki, ukiua kwa upanga -utakufa kwa upanga neno(huwa linaishi). Hatima haiko mbali.
Kwa nyongeza tu: Vitu vingi Ni batili , haviko Kama vinavyoonekana kwa macho., Unaachoona kizuri kwa sababu hujaona upande wa pili na pindi huonapo tu, ungesema Bora usingejua ukweli ungebaki katika ulichokijua, maana vinaumiza.
Oya tukana kiswahiliFind a micro penis to fellate.
Tafuta kibamia cha kunyonya😂😂😂😂😂Oya tukana kiswahili
Nadhani huenda linagusia mamlaka zinazotenda haki pekee.Je, haijapata kuandikwa ya kwamba mamlaka zote hutoka kwa Muumba? Tena andiko lile hali-categorize ila lataja tu mamlaka bila sifa za ziada?
Tusemeje sasa? Kwamba, andiko lile ni questionable? Kwamba, halimaanishi mamlaka hizi tunazozifahamu? Kwamba, halimaanishi Muumba huyu anayejulikana? Au tusemeje?
Wakina Ben Saanane kwani walifanywaje na utawala dhalimu?Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati!
Nisome tena: kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu mpaka wanakuwa tambarare [flat] kama chapati.
Ukatili wa Assad umepitiliza kabisa viwango vyote vya ukatili duniani.
Utamlazaje binadamu mwenzio kwenye limashine la kugandamiza halafu unamgandamiza anakuwa kama pancake?
Kwa kweli siwalaumu hata kidogo wale watu walioenda kulichoma moto kaburi la baba yake na Bashar.
Sikuwahi kuwaza huyo daktari wa macho alikuwa ni katili kiasi hicho.
Na siku akija kupatikana halafu na yeye pamoja na familia yake wakagandamizwa na hilo hilo limashine lao, wala sitajawa na huruma yoyote ile.
View: https://youtu.be/-V6fPXr32qo?si=dHG5TVdmJY2ikR58
View: https://youtu.be/5ictvq6r2N4?si=mbpzbZjiVfclVfjz
Huwez kumjibu bila kumtusi? Sasa wewe unatofauti gan na Assad? Maana wewe na Assad wote ni waovu na wote hamna hofu ya MUNGU, Assad kwa mauaji wewe kwa matusiFind a micro penis to fellate.