Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,474
- 24,345



MNAMO TAREHE 19.2.2016 SAA
9.00 HUKO TATIKA MAENEO YA
KANISA LA ANGLICANA KATA YA
MGHANGA TARAFA YA
MUNGUMAJI WILAYA NA MKOA
WA SINGIDA MCHUNGAJI KANON
PHILEMONI MPILIMBI MGOGO
62YRS MKRISTO NA MCHUNGAJI
WA KANISA LA ANGLICANA AKIWA
CHOONI KWA LENGO LA
KUJISAIDIA ALISIKIA SAUTI YA
MTOTO MCHANGA IKITOKEA
NDANI YA SHIMO LA CHOO NDIPO
ALIMULIKA NA TOCHI NA
KUJIRIDHISHA NA KUBAINI KUWA
ALIKUWA NI MTOTO .BAADA YA
KUBAINI HILO ALITOA TAARIFA
KITUO CHA POLISI SINGIDA A/
INSP.SANGA AKIWA NA TIMU YA
WAPELELEZI WALIONDOKA
KUELEKEA ENEO LA TUKIO NA
BAADA YA KUFIKA NA
KUMUOKOA MTOTO HUYO JINSIA
YA KIUME AKIWA HAI
ANAYEKADILIWA KUWA NA UMRI
WA SIKU MOJA. HIVI SASA MTOTO
AMELAZWA HOSPITALI YA MKOA
KWA MATIBABU .MTUHUMIWA
MONICA D/O ISAACK MUNISHI
MIAKA 22 MWALIMU WA
ANGLICANA MKAZI WA SABASABA
MBALONI NA ANAENDELEA NA
MAHOJIANO