Ukatili dhidi ya wanawake//wanaume

Machingafx

Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
91
Reaction score
110
Umu JF nimetembelea majukwaa tofauti tofauti. Ila kuna kitu kimenishangaza sana

Nimeona kuna mijadala ya UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

Ila nimeshangaa zaidi kuona hakuna jukwaa la[UKATILI DHIDI YA MWANAUME]..
na ikumbykwe pia sisi wanaume tuna haki zetu pia.... maana unaweza ukamtumia nauli mwanamke aje kwako.

Na asije na nauli pia akala huo ni ukatili tayari alaf na bado wahandisi hawalioni hili...
Au wanaume wenzangu ili suala mnalionaje????

Maoni hapa chiniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ tunajadiliπŸ™πŸ™
 
Hili nalo inabidi litengewe bajeti. Wazee wa balaza walijadili kwa kina....
 
Hapana. Nasisi wanaume tuna haki zetu. Nazo zizingatiwe....πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
hakuna jukwaa la[UKATILI DHIDI YA MWANAUME].. na ikumbykwe pia sisi wanaume tuna haki zetu pia.... maana unaweza ukamtumia nauli mwanamke aje kwako. Na asije na nauli pia akala huo ni ukatili tayari
Pole sana... Hayanaga miongozo...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…