Kama ni wewe kwanza ni kupe pole ndungu!!
Ni kweli hiyo hali ujitokea mara kwa mara kama unatabia ya kupuuzia mambo na kuto kujitafkari wapi unakosea!
Sio hali nzuri na sio hali ya kuzoea, lakini katika maisha kuelekea mafanikio lazima itokeee ili upate nafasi ya kujifunza na kugundua unapokosea!!
Hali kama hiyo si kweli usaidiwa na kukopa kama wengi wanavyosema humu ndani, maaana mkopo unaweza ukaongeza 100 times stress kwenye zile ulizo kua nazo mwanzo!!!
Hali hii always inakuja na maamuzi magumu na ikiambatana na kubadilika kabisa kuhusu tabia zako, maamuzi yako na hata marafk wanao kuzunguka katika maisha yako!!!
Kama una assets unazo weza kuuza zinazo weza kutatua changamoto ulizo nazo that is the way to go!
Yupo mtu aliuza kila kitu ndni akabaki na godoro tu, and he paid all the debits he owned people! Icho kitendo kili mrudisha nyuma 100 times lakini alijifunza kitu kikubwa sna kwamba anatakiwa kubadilisha life style yake!
Leo the guy ni multmilonaire ambaye anaishi a good life ambayo he is free with princples!!
Ukimuuliza atakwambia:-
* katika maisha u need plans, goals and principles ( wengi hatuna)
*katika maisha always spend according to your income! Kuwa na budget ( wengi hatuna)
*katika maisha jifunze kujifunza kutokana makosa hata kama nidogo (wengi tunachukulia kawida)
*usiiishi maisha ya show of and competition za kuspend rether invest (wengi tuna sim kali za milon lakin huna hata uwanja)
*stay away from people wanao furahia uwepo wako, maaana kunaitu wana kuunyonya bila we kujua, kaa na watu unaofurahia uwepo wao maaana kuna kitu unapata!
USHAURI
Kukopa weka ni last option, find asests zote unazo ona zinaeza kukutoa hapo ulipo, kama huna hata aset za kuuza kusolve tatizo kopa but ji evaluate aina ya maisha unaishi si mazuri!! Na iyo hali itakutokea kila màra usipo chañge!!
Jifunze kuanza upya ukiwa mtu tofauti na yule wa mwnzo! Usione aibu koze hayo ni maish yako wewe!