jamaajamii
Member
- Apr 19, 2015
- 70
- 6
Kuna watu humu hawana wenza. Namaanisha hajaolewa au kuoa na hawana wapenzi wa kuaminika au wa kudumu.Sasa kwanini wasitafute humu wachumba ili kumaliza tatizo?
wewe umeoa au unatafuta kwa lugha ya kiungwana,sijaolewa ila sijajua nitumie njia ipi kupata mume humu maana waliojaribu kuweka mabango sina uhakika kama wanapata wanaume humu Jf

Mapembelo vavene!!!!. Siyo kidume kweli wewe Sanga??Maana members wa JF hamuachi vituko!