Abdul Mluya
Member
- May 28, 2013
- 47
- 25
Tamisemi imedanganya umma juu ya matokeo ya jumla ya uchaguzi kwa kua takwimu zao hazina usahihi .wametoa asilimia ya vyama jinsi vivyo shinda bila kuitaja DP na ADC vyama ambavyo navyo vimeambulia viti je ni chama gani kilicho pewa pasenti hizo hapa napata shida nataka kuamini kua ccm imeshinda kwa 60% tu na kama ndivyo nataka kusema hongera upinzani UKOMBOZI umewadia 2015