Ni kweli kaka, sasa si hao tu wapo na majembe wahuni wale nao hivyo hivyo.Imeniwia vigumu kuelewa Nimesimamishwa na traffic wanakuja watu wengine wanasema wanatokea interpol wanaomba kukagua gari na hawatoi maelezo mengine mpaka niulize kwa ajili ya nini, wanajibu wanatafuta magari yaliyoibiwa. This doesnt make sense kwanza hawana vitambulisho pili upewi utambulisho wowote wa kuonyesha kuwa umeshakaguliwa ili kurpusha kusimamidhwa na wengine else where. Naona hapa kuna kasoro.*Sujui nyinyi wana JF mnalionaje hili
wako sahihi kama ni sehemu wazi na trafik wapo. mabongo mna magari ya kupiga sana huko mamtoni.
wako sahihi kama ni sehemu wazi na trafik wapo. mabongo mna magari ya kupiga sana huko mamtoni.
Interpols are everywhere! Wanakagua hizi xpensive cars sio hvyo vikolola vyenu.
Hatujauliza wanakagua nini ila ni the way they are doing this job. kama hawataweka utaratibu maalum either wa vitambulisho maalum vya kuwatambulisha wao au kuweza kuaidentify gari ambazo tayari zimeshakaguliwa basi kuna uwezekano mkubwa wa nafasi hii kutumika vibaya na wahalifu.
Nakubaliana na wewe mkubwa lkn nimeona hadi wazungu ndani.....
At least wangekuwa wanatoa stiker zinazoonyesha kwamba gari limeshakaguliwa kwani hili zoezi huwa linafanywa mara kwa mara
Wazungu kitu gani ndugu yangu wao ni binadamu kama sisi tu rangi isikubabaishe. they ain't nothing like us believe me ni vile tu wabongo hatupendi kujiamini na kujibidisha.
Samahi mkuu, kwa nini unatumia picha ya mbunge wetu akiwa na kijana wake kwenye avatar yako?