Ukabila umezidi competence..
I still am sure that Uhuru is too young for that office.
I stand to be corrected.
Ni kweli watu wengi wanaona ukabila ni wakikuyu tu hawana ukabila wa wajaluo.Hapo kwenye red! Ohaya na gwane ong'wise!
Yaani jamaa anapewa mpaka kura 85 mara 97 kati ya maelfu ya kura? Kama siyo ukabila ni nini hicho? Kwa Wakikuyu unakuta RAO anapata mpaka kura 3,000. Hapo nakubaliana na wewe Wajaluo ndo wana ukabila sana. Hii kuna uzi siku moja nilichangia humu ndani kwamba wanaomwunga mkono RAO hawawajui vizuri Wajaluo, kuna shirika moja aliachiwa Mjaluo huko Kenya ambalo lina ofisi hata hapa TZ, jamaa alihakikisha nafasi zote za maana anawaondoa wale wa makabila mengine na kujaza wa kabila lake. Sasa hivi shirika limekuwa la Wajaluo, hata consultancy ambazo walikuwa wanapata hata makabila mengine sasa hivi hawazipati wanapewa Wajaluo tu!!
Chezeo Luo Union wewe!!!
Mkuu,Sasa hivi Wazungu wanaogopa mno kuweka vikwazo vya ovyo ovyo, Vi-China vinatishia maisha yao, maana wanajua fika kama nchi husika ikipata support ya China itakuwa imekula kwao!! Acha wananchi wampe Uhuru tuone jeuri ya wazungu, Tumb..ff zao wamezidi kuamua mambo ya nchi zingine huku nao uchumi wao uko mahututi!!
Hakuna mshindi, uchaguzi unarudiwa. Kumbuka Uhuru amepata 49.5% na Raila amepata 44.5%. Hakuna aliyepata 50%+1vote kama katiba inavyosema. Ngoma bado.[/QUOTE]
Sio kweli ndugu at 1525hrs Uhuru Kenyatta 5.O5million, Raila Odinga 4.46million,total votes 10M, rejected around 93000 SOURCE www.nation.co.ke
oJamani tumefika lini huku? hili dudu tulichekealo likituuma tusilalamike, tuangalie credibility mambo ya ukanda, ukabila, udini n' so forth tuachane nayo hayana maana we will be the looser.
Hivi Waafrika tumelogwa?
Kwa weledi sio vizuri ku attack personality za watu ni bora tukajikita kwenye mjadala.Is too low for you to behave this way!
Alafu huwa nawaza yaani kama kweli UHURU ni culprit wa yale mauaji iweje alambe kura zote izo
Something ficious apa au ndo huo ukabila?
Sasa hivi Wazungu wanaogopa mno kuweka vikwazo vya ovyo ovyo, Vi-China vinatishia maisha yao, maana wanajua fika kama nchi husika ikipata support ya China itakuwa imekula kwao!! Acha wananchi wampe Uhuru tuone jeuri ya wazungu, Tumb..ff zao wamezidi kuamua mambo ya nchi zingine huku nao uchumi wao uko mahututi!!
I have serious reservations about your position about Uhuru; the guy is 51yrs old!!
Julius nyerere became premiere of Tanganyika at toddler age of 39; JF Kennedy became US president at 43yrs and more recently Obama was 47 in 2008 when he became president; the late Hogo Chaves was 44yrs old when he became president of Venezuela; the late Ghadafi took the mantle in Libya at 29yrs, captain Thomas Sankara was 33yrs when he became head !!!
Is it really the age or vision and mission for the country when one aspires to becaome president of his or her country!!
Mbona husemi Raila kura nyingi amepata wapi[coast ameshinda lakini hata huko ana ndugu wengi tu]SIRI YA USHINDI WA UHURUKENYATTA, MSHINDI WA UCHAGUZI WA URAISKENYA 2013
1. Ukubwa wakabila lake ambalo linaundwa zaidi ya asilimia 30 ya wakenya wote.
a. Kiambu amepata kura 442,042
b. Muranga kura264, 758
c. Nakuru 232,805
d. Kericho190,287
Hii ni idadi kubwa kabisaya kura ambazo zinazidi maeneo yote yenye ushawishi kwa Raila
2. Kuungana naRuto
Ukabila umezidi competence..
I still am sure that Uhuru is too young for that office.
I stand to be corrected.
Hakuna mshindi, uchaguzi unarudiwa. Kumbuka Uhuru amepata 49.5% na Raila amepata 44.5%. Hakuna aliyepata 50%+1vote kama katiba inavyosema. Ngoma bado.
Baelezee baelezee mkuu!!
Watu hawana jipya. Mara ooh kadhulumu ardhi ya wa-Kenya, mbona wa-Kenya wenyewe wamempa kura? Inabidi tuakae kimya kabisa jamaa aende akapige kazi. RAO ana tamaa ya urais tu, pengine ingependeza hata angemwachia Kalonzo hili zigo. Sasa watu wanatarajia wakirudia uchaguzi ndo atashinda? Hapo si mpaka wale wagonjwa wasiojiweza kwenye nyumba ya Mumbi wataenda piga kura?
Uhuru nilimkubali kwenye duru ya pili ya mdahalo jinsi jamaa lilivyokuwa linajieleza kwa kujiamini!! Pamoja na kulizonga zonga na mambo ya ardhi. Kwani nani asiyejua kwamba viongozi wa mwanzo wote wa Kenya wanamilki ardhi kubwa kubwa? Wala siyo nyumba ya Kenyatta peke yake ni viongozi wote!!!
Uhuru nipigie hao jamaa, walikudhulumu tangu 2002 sasa ni zamu yako!!
kwa hiyo unataka kuniambia mheshimiwa pm hana nguvu ya kwenda barabarani sioWataanzia wapi?Raila hana ubavu wa kuingiza watu kitaa.Ile ya mwaka 2008 ni Ruto ndie alibariki shughuli nzima.
Baadae nitakutafuta unipe overall results zako, usikimbie