Israeli taifa la Mungu, wataishinda vita
soma maandiko matakatifu
Acha ubaguzi..tz ni moja
Zanzibar next. Mamlaka kamili!
hahahaa mkuu sahau kabsaa maana huu umeshakuwa ukoloni wa Tanganyka kwa zanzibar!
Mbona hivyo visiwa vilishafilisika kabla hata ya uhuru! Sasa tutafilisi hewa! Wazanzibari wenyewe ndio wanaojikomba kwetu, kwani si wao waliopiga theluthi mbili ya kura kupitisha katiba pendekezwa?Ukoloni wa Tanganyika tabu tupu. Ukoloni wa Empire afadhali, watejenga reli hapa,watagawa "sound" colonial education pale. Hawa wenzetu watafilisi visiwa hadi basi.
Mbona hivyo visiwa vilishafilisika kabla hata ya uhuru! Sasa tutafilisi hewa! Wazanzibari wenyewe ndio wanaojikomba kwetu, kwani si wao waliopiga theluthi mbili ya kura kupitisha katiba pendekezwa?
Wenzio wanazungumzia uhalisia wewe upo kwenye "nafikiri" haya zumbukuku endelea kulala usingizi wa mchana!!!Mimi nafikiri mataifa ya shetani ni yale yenye itikadi ya kujitoa mhanga ili kumwaga damu za watu ili kumpatia shetani wao kinywaji. Mataifa haya hukata watu vichwa kisa ni wao kuwa wa imani tofauti nao. haya ndiyo mataifa ya Shetani.
Israeli anadanganywa na kio na kujiona simba kumbe nyau tu, ukitaka kujua hilo mmarekani akae pembeni.Kama marekani ndo mungu sawa maana israel bila marekan wangeisoma namba, kasome historia nn walifanywa nn na hitla. kitovu cha maasi duniani ni marekani na marekani na israeli ni pete na kidole mungu na marekani wapi na wapi bhana.Israeli taifa la Mungu, wataishinda vita
soma maandiko matakatifu
Hata kama wakitambua hao wafilisti haijalishi Israeli itasimama peke coz Mungu yupo pamoja nao. GOD BLESS UR NATION.
Israeli anadanganywa na kio na kujiona simba kumbe nyau tu, ukitaka kujua hilo mmarekani akae pembeni.Kama marekani ndo mungu sawa maana israel bila marekan wangeisoma namba, kasome historia nn walifanywa nn na hitla. kitovu cha maasi duniani ni marekani na marekani na israeli ni pete na kidole mungu na marekani wapi na wapi bhana.
Kutokumtambua wao yesu si tatizo maana hata na ninyi hammtambui.
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Israel ni taifa teule mbele ya mwenyezi Mungu. Ni taifa ambalo limebarikiwa na mwenyezi Mungu toka enzi za Ibrahimu mtumishi wa Mungu. Atakaye walaani waisrael nae atalaaniwa na atakae wabariki nae atabarikiwa. Ukitaka kuwasoma wana wa Israel(Ibrahimu) soma agano la kale kitabu cha mwanzo mpaka Kumbukumbu la torati.
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Israel ni taifa teule mbele ya mwenyezi Mungu. Ni taifa ambalo limebarikiwa na mwenyezi Mungu toka enzi za Ibrahimu mtumishi wa Mungu. Atakaye walaani waisrael nae atalaaniwa na atakae wabariki nae atabarikiwa. Ukitaka kuwasoma wana wa Israel(Ibrahimu) soma agano la kale kitabu cha mwanzo mpaka Kumbukumbu la torati.
Hebu kwa specific basi, wasomi hawawi hivyo Mkuu, Sema Kitabu fulani aya fulani mstari fulani.Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Israel ni taifa teule mbele ya mwenyezi Mungu. Ni taifa ambalo limebarikiwa na mwenyezi Mungu toka enzi za Ibrahimu mtumishi wa Mungu. Atakaye walaani waisrael nae atalaaniwa na atakae wabariki nae atabarikiwa. Ukitaka kuwasoma wana wa Israel(Ibrahimu) soma agano la kale kitabu cha mwanzo mpaka Kumbukumbu la torati.
Hapo umenena, hao sio adui wa Zanzibar tu, bali ni maadui wa Tanganyika pia.Get your facts right CCM Zanzibar sold us into captivity. Hawa watu are our worst enemies.
Hayo maandiko wameyachakachua kwa watu wajinga kuyaamnini kwa lengo lao.
Taifa shenzi duniani hakuna kama hilo
Ni taifa haramu na ni pekee ambalo nusu ya dunia hawalitambui