Ujuzi wa drones

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,235
Reaction score
2,360
Habari za jioni wakuu.
Nimekuwa na interest ya kujua kutumia drones natamani nimiliki ya kwangu mwenyewe siku moja, nachopenda kujua ni bei za drones za kawaida au kuchezea kwa hapa Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bei za virtual reality (VR) box zile za simu zote??
 
Habari za jioni wakuu.
Nimekuwa na interest ya kujua kutumia drones natamani nimiliki ya kwangu mwenyewe siku moja, nachopenda kujua ni bei za drones za kawaida au kuchezea kwa hapa Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Quadcopter zenye HD camera ni chini ya laki na nusu, ila inategemea kwaajili ya matumizi gani. Ila kaa ukijua ni marufuku kuirusha nje pasi na kibali kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA )

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Duh sawa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unataka nzuri ambayo itadumu tafuta hizi DJI zipo na security sana ina GPS inaweza kwenda umbali wa 4km, pia ipo controlled na app maalumu ya simu inaweza kuitrack hata kama imeenda umbali mrefu. Bei kuanzia US$ 200

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Pia angalia ambayo itakuwa raisi kupata spare kama motor, propeller, bumper, battery, etc.
Karibu.

Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Mkuu nina maswali kidogo 1. Hii inaweza kunisaidia kwa ajili ya recording kwenye matukiO kama sherehe, 2. Bei hapo naona kama iko chini je hiii inaeza kuwa msaada kwa kazi ya kupigia picha za sherehe au na shuti wimbo?
 
Hiyo DJI SPARK nzuri sana inafaa kwa hizo shughili zako, pia kuna drone za Xiaomi FIMI ni nzuri na bei nafuu ukilinganisha na DJI Spark.
 
Attachments

  • 4E69EBB8555EB288.jpg
    36.2 KB · Views: 43
  • 5209D90C495DDF3C.jpg
    43.1 KB · Views: 35
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…