P plas haule New Member Joined Jan 20, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Jan 27, 2016 #1 Naombeni kujua swala moja kuhusu matumizi ya umeme . Je nikiunganishiwa umeme na TANESCO na nikaamua kutengenezea neutral nyingine nyumbani kwangu na kutumia live ya TANESCO. Je luku yao itasoma garama ileile ya mwanzo au itapumgua.
Naombeni kujua swala moja kuhusu matumizi ya umeme . Je nikiunganishiwa umeme na TANESCO na nikaamua kutengenezea neutral nyingine nyumbani kwangu na kutumia live ya TANESCO. Je luku yao itasoma garama ileile ya mwanzo au itapumgua.
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Jan 27, 2016 #2 plas haule said: Naombeni kujua swala moja kuhusu matumizi ya umeme je nikiunganishiwa umeme na tanesco na nikaamua kutengenezea neutral nyingine nyumbani kwangu na kutumia live ya tanesco je luku yao itasoma garama ileile ya mwanzo au itapumgua. Click to expand... Kitu kama icho hakiwezekani
plas haule said: Naombeni kujua swala moja kuhusu matumizi ya umeme je nikiunganishiwa umeme na tanesco na nikaamua kutengenezea neutral nyingine nyumbani kwangu na kutumia live ya tanesco je luku yao itasoma garama ileile ya mwanzo au itapumgua. Click to expand... Kitu kama icho hakiwezekani