Mwanaharakati16
Member
- Jul 31, 2022
- 21
- 21
Pole sana kk
Cheza na youtube.. utapata mafunzo jinsi gani ya kukwepa hilo.
Youtube ni chuo kikuu
Tukufundishe uhalifu siyo?
Mzee jikague akili kwanza[emoji1787][emoji1787]
Nenda facebook fungua ads account nyingine ilink na insta yako then tumia hio kufanya promotion io ya zaman iweke second option simple sana mzee
Cheza na youtube.. utapata mafunzo jinsi gani ya kukwepa hilo.
Youtube ni chuo kikuu
Hio pesa nying wamekutoza Kwa pesa io ungetozwa hata elfu sabiniHabari Wakuu
Aisee Mimi nimekuwa nikifanya biashara Instagram kwa kutumia hizi Instagram sponsored ad na kuzifanyia malipo lkn kutokana na changamoto za maisha nmeyumba nakuja kucheki nina deni kama la 300 dollar na mfukoni sina kitu [emoji25]
Hivyo nimeona huko Instagram watu wanasema uwalipe laki 2 au elfu 50 ili wanisaidie kutatua changamoto na mimi hela sina saivi hvyo nashidwa hata msimbazi sina
Naomba sana yoyote mwenye ujuzi anisaidie ili niweze kukwepa deni baadae nitalilipa japo nipige hata sponsor ad ya dollar 30 nijisogeze hali ni mbaya.
Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu
Nilifanya hivo ila ile acc ya zamani nataka kuirudia ili niwalipe option siioni tena na , nime unlink na fb ili irudi yazamani ila haitokeiNenda facebook fungua ads account nyingine ilink na insta yako then tumia hio kufanya promotion io ya zaman iweke second option simple sana mzee