Ujumbe wangu kwa masheikh wangu

Ujumbe wangu kwa masheikh wangu

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
806
Reaction score
2,572
Hatutaki kutugombanisha watu walivyokuwa wanatekwa walitwa dini zote maumivu wanayapata wote msilete chokochoko zenu

Lile gari la bwana abdu bugati ya bilioni 20 ukigawa mngepata toyota ist masheikh 1200 nchi nzima wote mngekuwa mnatembelea gari ila sisi tukiungana kukataa ufisadi nyie mnatumika hivyo tu msitugombanishe na ndugu zetu
 
Asante dada latifah kuonyesha uwezo mkubwa wa uelewa
NChi yetu Haina ugomvi wowote kati ya waislamu na wakristo

Hatutaki kutugombanisha watu walivyokuwa wanatekwa walitwa dini zote maumivu wanayapata wote msilete chokochoko zenu

Lile gari la bwana abdu bugati ya bilioni 20 ukigawa mngepata toyota ist masheikh 1200 nchi nzima wote mngekuwa mnatembelea gari ila sisi tukiungana kukataa ufisadi nyie mnatumika hivyo tu msitugombanishe na ndugu zetu
tusikubaliane na ushenzi wao huo
 
Buku ten ten wakipewa, chap wanaitisha press kubwabwaja ujinga wao. ....
Hakuna kipindi Taifa linahitaji umoja kama kipindi hiki, hawa wanataka kupanda mbegu ya udini
 
Back
Top Bottom