wamogori JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 888 Reaction score 339 Mar 27, 2013 #1 Ujumbe kama huu unaweza kuujibu vipi ikiwa umetoka kwa mpenzi wako na tena ikiwa hauna taarifa wakati anazikopa hizo pesa wala maelezo ya ziada zaidi ya huo ujumbe.
Ujumbe kama huu unaweza kuujibu vipi ikiwa umetoka kwa mpenzi wako na tena ikiwa hauna taarifa wakati anazikopa hizo pesa wala maelezo ya ziada zaidi ya huo ujumbe.
Mangaline JF-Expert Member Joined May 19, 2012 Posts 1,045 Reaction score 222 Mar 27, 2013 #2 Ukitaka upendeke, ujulikane ni dume, inabidi uujibu positively, ukijibu negatively akakujibu kuwa basi nimepata kwingine, usilalamike!!!!!
Ukitaka upendeke, ujulikane ni dume, inabidi uujibu positively, ukijibu negatively akakujibu kuwa basi nimepata kwingine, usilalamike!!!!!
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,268 Reaction score 90,775 Mar 27, 2013 #3 inategemea...kama nilishamgegeda basi tena sina shida ya kujibu sms hiyo
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Mar 27, 2013 #4 Halafu mwenye hiyo handset kweli ana uwezo wa laki 1?simu yenyewe imemshinda kununua