Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 866
- 1,798
Kama una uhakika sawa..!Ujumbe mzuri , kongole mteta mada
Ila
Kuludisha ❌ = Kurudisha ✅
Kwahiyo wewe Wakati upo darasa la pili, somo la kujifunza matumizi ya hizi alama ,. mwalimu wako aliliruka kabisa?Ujumbe wa leo kaka zangu dada zangu wapambanaji katika kutafuta hutakiwi kukata tamaa ukasema mimi ni maskini pambana na usifuate MISEMO yenye kuludisha nyuma ya misemo yenye kukufanya ukate tamaa na kukubali hali uliona nayo hakikisha ukikaa unapanga mipango madhubuti ya kupata pesa kamwe usikate tamaa ishi kwa matumaini ukiwa unapambana usiish kwa matumaini ukiwa umetulia maisha ndio hayahaya
HUJASOMA EH
Sawa hujasoma au uwe umesoma ukitulia tu huwezi kupata kazi pambana uwe na mitego mingi ya pesa uamaskini m baya NINA MENGI
Nina mengi ila ngoja niishie hapo
Sawa tu....Kwahiyo wewe Wakati upo darasa la pili, somo la kujifunza matumizi ya hizi alama ,. mwalimu wako aliliruka kabisa?
Hawa watu shule walienda kusomea ujinga mkuu.Ujumbe mzuri , kongole mteta mada
Ila
Kuludisha ❌ = Kurudisha ✅
Katokea mologoloUjumbe mzuri , kongole mteta mada
Ila
Kuludisha ❌ = Kurudisha ✅
Mteta❌ = mleta ✅Ujumbe mzuri , kongole mteta mada
Ila
Kuludisha ❌ = Kurudisha ✅