ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Jan 20, 2012 #1 "Uongo na usaliti wa wanaume ktk mapenzi ni mafunzo tosha ya mahusiano kwa wanawake"
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Jan 20, 2012 #2 Yani wewe unaona wanaume ndo waongo siku zote, wanawake huwa hawasemi uwongo!!!
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Jan 20, 2012 Thread starter #3 fazaa said: Yani wewe unaona wanaume ndo waongo siku zote, wanawake huwa hawasemi uwongo!!! Click to expand... Nani kasema hilo uliloongelea we dogo? acha uvivu wa kufikiri, ndugu
fazaa said: Yani wewe unaona wanaume ndo waongo siku zote, wanawake huwa hawasemi uwongo!!! Click to expand... Nani kasema hilo uliloongelea we dogo? acha uvivu wa kufikiri, ndugu
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,648 Reaction score 167,553 Nov 11, 2015 #4 well said ndyoko bila usiwe unaadimika kiasi hicho Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,378 Reaction score 2,057 Nov 11, 2015 #5 Mkiambiwa ukweli hamuamini Ila uongo ndio size yenu kina dada binafsi uongo umenisaidia kuwapata wengi ni tofauti na nikiongeaga ukweli.
Mkiambiwa ukweli hamuamini Ila uongo ndio size yenu kina dada binafsi uongo umenisaidia kuwapata wengi ni tofauti na nikiongeaga ukweli.