Ujumbe wa Dr. Shein una walakini

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu tumepata Rais mshamba kuliko awamu zotee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli pamoja na utulivu na upole w raisi wa zanzibar il uchumi sio mbaya at least zenj kuna money circulation
 
Hakuna kuongeza mshahara hadi ufanisi wa wafanyakazi ulingane na wa sekta binafsi. Mfano rahisi ni wafanyakazi wa NIDA wapewe nyongeza ya mshahara kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unaamini kwamba jamaa wanakisanya 1.9 Tril?
 
Aongeze mishahara ya nini ? Wakati vijana wengi wamemaliza vyuo na hawana ajira, bora pesa hizo awape kama 'capital' wafanyie biashara .Kwanini aliyenayo aongezewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…