Elijah Steel
Senior Member
- May 17, 2016
- 118
- 165
Katika Kuadhimisha Siku ya Kimataifa kuongeza Uelewa katika jamii kuhusu watu wenye Ualibino hii leo, 102.5 Lake Fm Mwanza, Inasema "Tumechagua Kutowabagua, Kuwatetea na Kuwalinda" #LakeFm#Rahayarockcity #RadioyaWananzengo #Mwanza
Tazama Ujumbe katika Video
source: binagi blog
Tazama Ujumbe katika Video
source: binagi blog