Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,931
Ingekuwa katiba inaruhusu kumshitaki Rais anayefanya madudu asingefanya, Spika anafanya ujinga sababu anajua hakuna wa kumgusaNi sawa Katiba ni ya viraka viraka, bt Kwa Katiba hii hii iliyopo unaweza niambia wale COVID 19 Wanalindwa na Sheria ipi muda wote huo. Jibu ni Rahisi CCM inabariki viongozi kuvunja Katiba iliyopo.
Uko sawa. Viva KATIBA mpya viva!Ingekuwa katiba inaruhusu kumshitaki Rais anayefanya madudu asingefanya, Spika anafanya ujinga sababu anajua hakuna wa kumgusa
Wanatumia udhaifu huo kufanya mambo ya hovyoUko sawa. Viva KATIBA mpya viva!
MkuuWapuuzi tuu Hawa wa mitandaoni..TCRA inawaachia watu kama Hawa eti wanamuelekeza Rais cha kufanya.
Punguzo kubwa baada ya June 1Wamepunguza sh 39.
Makamba! 😅😅🤣😅🤣Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha Mwananchi.
View attachment 2222392
Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha Mwananchi.
View attachment 2222392
Ni sawa Katiba ni ya viraka viraka, bt Kwa Katiba hii hii iliyopo unaweza niambia wale COVID 19 Wanalindwa na Sheria ipi muda wote huo. Jibu ni Rahisi CCM inabariki viongozi kuvunja Katiba iliyopo.
Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha Mwananchi.
View attachment 2222392
WaTApunguza juni mosi. Bado.Wamepunguza sh 39.
Hivi tukinyimwa mikopo Hali inakuwaje?WaTApunguza juni mosi. Bado.
Hii ni kweli ama uzushi wa wabongo? Basi huyo waziri atarajie kupata sifa na vyeo zaidi.Jana Waziri yule alienda na wake zake wawili kumbe mmoja wa mkewe ni mtoto wa namba Moja wa sasa!!
Umedharaulika wewe na ukoo wako wa panya
Kwenye hili naunga mkono, kitaan maisha ni magumu balaaMsimamo wako ni sawa na msimamo wangu.