Ujumbe mzito kutoka kwa mama Diamond kwenda kwa Zari

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
Kupitia akaunti yake ya instagram, Mama mzazi wa Diamond Platinumz ameendika maneno machache lakini yenye ujumbe mzito kwa mama wa wajukuu zake, Zarina Hassan aka Zari the Boss lady. Ni maneno yenye faraja kubwa na yanayozima baadhi ya tetesi zilizokuwa zimeenezwa kuwa wawili hao hawapatani.

Mama Diamond kaandika "Umepoteza Mama na Umebakia na Mama ambaye ni mimi.... @zarithebosslady Mama Tee tumshukuru Mungu kwa kila hali Allhamdullillah!" naye Zari hakusita kulike na kujibu"Sante mama nashkuru". Na katika post nyingine Mama Diamond ameendika "We are with you @zarithebosslady Love you Mama Tee wangu" huku Zari akijibu "Love u mama"

_20170723_003556.JPG

_20170723_003534.JPG
 
Sijawahi kuona uzi humu mama diamond au diamond kajamba au amepiga chafya wala kukohoa tu, hawa watu siyo wa kawaida.
 
Dah mama wa watu sasa naona ana IPHONE hahahahahhahahahaha dah kumbe maisha ni akili na si elimu mwanae na mzidi elimu lakini sasa naambulia vumbi tuuu
 
Back
Top Bottom