Mkuu naona huyu ndio kwanza anajifundisha kupiga picha na kuposit lakini ni safi sana kwa hayo maandiko yake tena wapo tele hao wakubeba vitunguli hiyo tena huvaa shingoni na mkononi na kiunoni na mifukoni yaani utasema ni mvutaji wa sigara maana huwa hakosi pakiti ya sigara na kibiriti mfukoni mwake na yeye