Ujumbe murua kwa wadada

Sisi ni wazuri zaidi ya hao uliowataja.. Ni vile tu hujawahi kutuona naomba siku nyingine usitufananishe na yyt...
Endelea tu kuchepuka utauvaa homa ya ini utatulia bila kuambiwa
 
I honestly agree kuhusu w/me kuchepuka ila acsahau element jaman... Magonjwa mengi ! Na achepuke na mwanamke standard kama mm at least cyo aokote okote tu hata mifupa ilyomshnda fisi ...sawa najua nao ni w/ke ila aangalie jaman maradh mengi...!
Nimekupenda buuureee!
 
Ungekuwepo karibu nngekupa bonge moja la kiss,ila daka hili tu[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Ivi kuna kifungu kwenye bible au quran mwanamke mmoja kawai kuolewa na waume wawili?

Nachojua ni kwamba toka zaman mwanaume alikuwa akichepuka ndo mana mwanaume akichepuka inachukuliwa easy...
Ila kwa mwanamke lazima ataitwa mzinzi au malaya hyo ni bible japo cjasoma yote
 
I honestly agree kuhusu w/me kuchepuka ila acsahau element jaman... Magonjwa mengi ! Na achepuke na mwanamke standard kama mm at least cyo aokote okote tu hata mifupa ilyomshnda fisi ...sawa najua nao ni w/ke ila aangalie jaman maradh mengi...!
Naomba nichepuke na wewe baby[emoji7]
 
Watuvumilie Tu,si wanataka wawe peke yao ndani....wakichepuka Majaba mpaka mapipa yatawahusu.
 
Wanawake wakichepuka mnawakata kata na kuwajaza kwenye majaba kama maji
Wanaume tufanyavyo sometimes sio fresh

Kabisa mku.hebu kunywa kiroba hapo nakija lipa..ohooo kumbe vimepigwa marufuku loh!pole.ila ukweli umeutoa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…