Ujumbe murua kwa wadada

Mmeambiwa muoe hadi wanne sio KUZINI

Afu hao wanawake wenyewe pia Malaya tu kama waume zao[emoji57] [emoji57]
 
kunta mwanaume anawaza zile gharama ninazomfanyia mara ohh nijengee nyumba wewe na kiherehere chako unamjengea,mara ohh nipeleke mlimani city nikachague dilaaa wakati mbagala hapa bure unaokota chini,ninunulie vogo wewe tena huku unadaiwa tegemeza jimbo mara subiri kidogo mara vogo hilo sasa akifumania matokeo yake ndio hayo
 
Mkuu Kimbendengu hivi kweli mwanaume kabisa unamjengea mwanamke wako nyumba kwa jina lake na kumkabidhi kabisaa? Aiseee lazima akufanyie vituko ambavyo hujawahi ona
 
Mwanaume aliumbwa kula kwa jasho sio kuchepuka na ndiyo maana akapewa mwanamke mmoja.

Kuchepuka ni umalaya wenu na tamaa tu.
 
Mwanaume aliumbwa kula kwa jasho sio kuchepuka na ndiyo maana akapewa mwanamke mmoja.

Kuchepuka ni umalaya wenu na tamaa tu.
 
Mmeambiwa muoe hadi wanne sio KUZINI

Afu hao wanawake wenyewe pia Malaya tu kama waume zao[emoji57] [emoji57]
Punguza jazba ustadhat ilisemwa kuwa siku zijazo zinaa itatapakaa,wanawake kuwa wengi,wanawake kuwa juu ya waume zao,watoto wa zinaa kila ukoo na mengi uyaonayo yaendayo kinyume na ustaarabu.nataman kubaki kama yesu [emoji16][emoji16]
 
Unaona siiiifaa mwenyewe,.cku hizi pasu kwa pasu mzeiyaa ukivuta gundi watu tunamalizia na petrol ni mwendo wa kujilipua tuu
 
I honestly agree kuhusu w/me kuchepuka ila acsahau element jaman... Magonjwa mengi ! Na achepuke na mwanamke standard kama mm at least cyo aokote okote tu hata mifupa ilyomshnda fisi ...sawa najua nao ni w/ke ila aangalie jaman maradh mengi...!
 
Punguza jazba ustadhat ilisemwa kuwa siku zijazo zinaa itatapakaa,wanawake kuwa wengi,wanawake kuwa juu ya waume zao,watoto wa zinaa kila ukoo na mengi uyaonayo yaendayo kinyume na ustaarabu.nataman kubaki kama yesu [emoji16][emoji16]
Kwa hiyo kama ilisemwa?!.. Ndo mjihalalishie haram kua halali?
 
Sio wanaume tu hata wanawake ni hivo kama ulikua hujui tena kama huna pesaa jua haupo peke yakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…