Ujumbe Muhimu huo................

huwezi kupewa baraka kama unawaombea wenzako mabaya ........ agreed
 
Kweli tupu.

Sipingani na ujumbe
 
Kwani hawajui ya mtu kumtendea mwenzako si haki ni bali ni kuipa kisogo tu hivo vitabu na vyote viwili vinakataza kabisa kutenda maovu juu ya kiumbe lakini wapi yakimfika jirani na jirani nai hufurahi ya jirani yake yamemfika na tujerikebishe leo mimi na kesho yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…