Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Nov 28, 2015 #3 Ujembe wa kizamani huo, siku hizi hata wachungaji wa kujitolea hawapo, sasa hao watumishi wa umma wa kufanya kwa kujitolea kawazaa nani! Lipa vizuri kazi ifanyike vizuri.
Ujembe wa kizamani huo, siku hizi hata wachungaji wa kujitolea hawapo, sasa hao watumishi wa umma wa kufanya kwa kujitolea kawazaa nani! Lipa vizuri kazi ifanyike vizuri.
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,881 Nov 28, 2015 #4 Labda enzi zake..!!