Ujumbe maridhawa

kuna ka ukweli apo maana bora uwe jambazi upigane ulete hela...kulikon uwe marioo
 
kuna ka ukweli apo maana bora uwe jambazi upigane ulete hela...kulikon uwe marioo
Aggghh charty bana! Tu-imagine kwamba mmoja wa wale walioshambulia
kituo cha Sitaki Shari ni boyfriend wako na unajua anahusika.Kwa hiyo wewe
ungempokea nyumbani kwa mahugs na mabusu siyo (fedha milioni 170 walizificha
ili wagawane baadaye mambo yakitulia)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…