Ujumbe kwa wanawake wote

Unazungzia ..mwanamke kwa ajili ya mwanaume yoyote? Au mwanamke yoyote kwa ajili ya mwanaume?

Vipi kuhusu Wanawake wale ambao kiuchumi wako vzuriiii sana????.
Niliwahi kusikia mahali kama mke analipwa 200,000/= na mume analipwa 50,000/= ukijumlisha hayo mapato bado utapata 50,000/=

Wataalamu wa hesabu watusaidie hii inawezekanaje
 
Na Mimi ujumbe wangu

NAWEPENDA SANA WOTE ILA HASA NYIE WENYE WOWOO
 
Na Mimi ujumbe wangu

NAWEPENDA SANA WOTE ILA HASA NYIE WENYE WOWOO
sasa wewe kuwa kma msomi basi hii post yako inasoma na njinsia zote yani mume na mkee sasa wewe unavyosema *nyie wenye wowo* ina maana gani mkuu si dharau hizo boss
 
sasa wewe kuwa kma msomi basi hii post yako inasoma na njinsia zote yani mume na mkee sasa wewe unavyosema *nyie wenye wowo* ina maana gani mkuu si dharau hizo boss
Acha kuwa kama mnyasa INA maana hujui maana ya wowo na ufahari wake akiwa nayo female humanoid ?
 
Nyie rukeni rukeni lkn sote tunahitajiana sema wanawake wengine huenda mbali zaidi na kutumia malimbwata! Hiyo ndo inakuwaga chizi karogwa Tena..😂
 
Depal amka, kuna ujumbe wetu huku asubuhi ya leo
Hii notification ilinipita sis. Mawazo yako? Ila ukorofi wao ni penye upare pale sasa nakuwaje mnyenyekevu na mie?

Nachekaaa...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…