Ujumbe kwa wanandoa

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Ndoa ni serikali inayo jitegemea,usikubali mtu asiye husika katika serikali hiyo akaivunja ndoa yako,kilicho unganishwa na Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha.
 

Attachments

  • 1393489734687.jpg
    11 KB · Views: 458
Haya asante tutazingatia katiba ya ndoa.
 
Ameen! Na ndoa iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi kwa kila mmoja.
 
Ndoa ni serikali inayo jitegemea,usikubali mtu asiye husika katika serikali hiyo akaivunja ndoa yako,kilicho unganishwa na Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Kwahiyo wanaozivunja ni malaika?
 
Swali lako halijaeleweka sab
 
Last edited by a moderator:
Chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika ni tamaa inayopelekea kuanguka kwenye uzinzi au uasherati. Na hata kama ndoa ilivyonjika sio kwa mambo ya uzinzi basi ni tamaa ya mali, tatizo kubwa linalolikumba ndoa nyingi TAMAA. Ndoa na iheshimiwe na watu wote, ole wao wasababishao ndoa kuvunjika hukumu yao ni kubwa sana, ndoa inapoharibika wanaoteseka sana ni watoto, ole wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…