Ujumbe kwa wanachuo

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...




Cc: mahondaw

Yan wew jamaa wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukiandika mistar zaidi ya mitatu ni tag[emoji23][emoji23]
 
Kale ka kwangu kalipofika chuo kakaanza kuvaa surul na kenyewe
Miezi mitatu mbele kakaanza kua kakali kanakaripa mbaya
Nkaona mim wa shure ya kata sina ngoja nkae pembeni


Wanachuo hua nnawaangalia siwapatii majibu
Yan hua wanaweza wakamdhalau mtu mwenye kazi yake yan
Yaan wale wajuba mungu pekee anajua[emoji23][emoji23]
 

Hahahaha ni shehemu yao ya kujivunia eti
After college tunakutana kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…