Jerry Muro alimtukana Mbowe an Lema akala shavu la uDC.Hivi kwa namna hii ya kupata viongozi hawa tutafika kweli au kuendelea kudumu kwenye uchumi wa kati daraja la chini??
Chama kimejaa watu wapumbafu kabisaNdio CCM walipotufikisha.
2015 kuna watu walipewa vyeo kwakuwa walimtukana vizuri Lowasa
Mnyeti alinunu wapinzani akala uRCJerry Muro alimtukana Mbowe an Lema akala shavu la uDC.
2015 Makonda alimtukana Lowasa akapewa ukuu wa wilaya Kinondoni.
CCM hawana formula wala vetting ya kupata viongozi.
Wote mnajua kuwa baada ya kumchagua mama kuwa mwenyekiti wa chama hapo kesho anakwenda kufanya uteuzi mkubwa wa kihistoria. Anakwenda kuteua wakuu wa wilaya, maDED, wakuu wa mikoa n.k
Karibia wateule wote wa hizo nafasi huwa wanatoka CCM hasa NEC. Jukumu lako wewe mjumbe unayetaka uteuzi ni kujipitisha pitisha angalau mama akuone kuwa na wewe upo.
Pia ukipata nafasi ya kusalimiana naye hakikisha unakuwa mnyenyekevu huku ukimuangalia usoni kwa macho ya huruma.
Pia kama atafanya kosa la kuwakaribisha futari hiyo ndio itakuwa nafasi sahihi ya kusalimiana naye.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
View attachment 1767401
Hatari sn ni aibu kubwaHa ha ha wengine walimrekodi kwenye flash disk wakampeleka TAKUKURU.
Kama Chadema wangekuwa wanafanya veting vizuri na ya uhakika, unafikiri viongozi wote wa juu kabisa Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Wakuu bara na Visiwani, wangekuwa vilaza kama ilivyo sasa, pamoja na Mgombea Makamu wa Rais kasoro Katibu wa Mambo ya Nje John Mrema?.Jerry Muro alimtukana Mbowe an Lema akala shavu la uDC.
2015 Makonda alimtukana Lowasa akapewa ukuu wa wilaya Kinondoni.
CCM hawana formula wala vetting ya kupata viongozi.
Dr. Mashinji alikuwa kilaza mbona anawalia hela zenu hadi leo?Kama Chadema wangekuwa wanafanya veting vizuri na ya uhakika, unafikiri viongozi wote wa juu kabisa Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Wakuu bara na Visiwani, wangekuwa vilaza kama ilivyo sasa, pamoja na Mgombea Makamu wa Rais kasoro Katibu wa Mambo ya Nje John Mrema?.
Midomo ipunguze kusema mambo Yale Yale yakiwa tofauti kwa CCM na kinyume chake ikiwa CHADEMA.
Na siku zote mjinga huwa salama akikaa na mjinga.