Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,086
- 144,523
Nakubaliana nawe kwa 100% lazima penye kushindwa patashindishwa kwa namna yoyote na kuwaacha wachache sana kwa kivuri cha uwepo wa upinzani nchini kwa mataifa ya nje hasa makubwa.Mimi naamini kabisa 2020 nguvu kubwa itatumika kuchukua majimbo yote ya upinzani bila kujali asali zake, nawaomba sana upinzani jiandaeni kwa sasa msisubili ifike 2020 dalili zote zipo kama watu wako tayari kukuweka 48 hrs bila kosa watashindwa kusema lissu kashindwa kwa asilimia 52!! na wengine wote
Uko sahihi kabisa.Jiandaeni kisaikolojia... sababu wanaohesabu kura ni wao
Sitasema maneno mengi.
Kinachoendelea hivi sasa ni kampeni za mapema za kisaikoloji zinazolenga kumnadi bwana fulani na wakati huo huo kampeni hizo za kisaikolojia zinalenga kuaminisha umma kuwa upinzani nchini umekufa /unakufa/unadhoofika.
Ili kufanisha kampeni hii,ni wazi vyombov vya habari na hasa wahariri watatumika sana.
Akili ya kuambiwa.....
With this early campaign,I wonder what real happened in 2015!!!!
Kumbukeni:
Chema chajiuza,kibaya chajitembeza.
Najiuliza tu hii aggressiveness ya utawala huu inatokana na nini? Je ni hasra ya kushindwa 2015 au kuna jingine??Sitasema maneno mengi.
Kinachoendelea hivi sasa ni kampeni za mapema za kisaikoloji zinazolenga kumnadi bwana fulani na wakati huo huo kampeni hizo za kisaikolojia zinalenga kuaminisha umma kuwa upinzani nchini umekufa /unakufa/unadhoofika.
Ili kufanisha kampeni hii,ni wazi vyombov vya habari na hasa wahariri watatumika sana.
Akili ya kuambiwa.....
With this early campaign,I wonder what real happened in 2015!!!!
Kumbukeni:
Chema chajiuza,kibaya chajitembeza.
Lubuva ana siri nzito sana .Sitasema maneno mengi.
Kinachoendelea hivi sasa ni kampeni za mapema za kisaikoloji zinazolenga kumnadi bwana fulani na wakati huo huo kampeni hizo za kisaikolojia zinalenga pia kuaminisha umma kuwa upinzani nchini umekufa /unakufa/unadhoofika.
Ili kufanisha kampeni hii,ni wazi vyombov vya habari na hasa wahariri watatumika sana.
Akili ya kuambiwa.....
With this early campaign,I wonder what real happened in 2015!!!!
Kumbukeni:
Chema chajiuza,kibaya chajitembeza.
CC: Tumaini Makene Tundu Lissu Godbless J Lema
Ni hivi mkuu , mtu aliyeshinda uchaguzi hawezi kuikasirikia nchi .Najiuliza tu
Najiuliza tu hii aggressiveness ya utawala huu inatokana na nini? Je ni hasra ya kushindwa 2015 au kuna jingine??
Katiba mpya jamaniii ,ataa hiyo hiyo iliyopendekezwa ni heriMimi naamini kabisa 2020 nguvu kubwa itatumika kuchukua majimbo yote ya upinzani bila kujali asali zake, nawaomba sana upinzani jiandaeni kwa sasa msisubili ifike 2020 dalili zote zipo kama watu wako tayari kukuweka 48 hrs bila kosa watashindwa kusema lissu kashindwa kwa asilimia 52!! na wengine wote