Ujumbe kwa Taifa la Tanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,283
Namshukuru Mungu kwa rehema na neema zake kubwa kwangu na taifa la Tanzania. Nimekuwa nikiwaza na kuwazua jinsi gani nitafikisha ujumbe kama huu mbele ya taifa langu Tanzania, ila nina amini huu ndio muda muwafaka kufikisha ujumbe wangu kwa taifa.

Taifa la Tanzania lililo asisiwa na mzee wetu mpendwa hayati Baba wa Taifa mwl Julius Kambarage Nyerere, akishirikiana na wazee wengine wote kutoka kila kabila na dini tofauti walituletea taifa zuri Tanzania.

Taifa letu Tanzania limepita nyakati ngumu sana na hata wakati mwingine ndio maana Mwl alikuwa akililia taifa hili, huku akisisitiza umoja na mshikamano kwa bara na visiwani. Mwl alilipenda sana taifa hili na kwakweli alitaman kuwachapa hata viboko walio enda kinyume na sera na matakwa ya taifa.

Tangu kifo cha mlezi na muwasisi wa taifa hili, wazee na viongozi wa chama cha ccm wamehangaika sana na kujitaidi kuhakikisha tunu za taifa hili hazipotei ikiwezekana hata kwa dam. Wazee wetu japo twaweza watukana kwa matusi yote tunaweza watukana ila ni ukweli usio pingika pamoja na tofauti zao za kiuongozi kila walipo maliza safari yao yakuliongoza taifa hili mioyoni na kwa pamoja walimshukuru Muumba wao.

Kutokana na mali asili na utajiri Mungu kalipa taifa hili mataifa jirani na nchi za ulaya,asia na magharibi walikuwa wakiangalia jinsi yakusambaratisha umoja wetu ili tupotee. Lakini Mungu hakulisahau taifa hili watu wamemuomba Mungu sana sana, ili atupe kiongozi na hili ni swala ambalo ningependa hasa vijana tulielewe nakutambuwa ukweli. Sio tu watanzania wameomba ila hata hao viongozi walijikuta wakisali tupate kiongoz bora wa taifa hili.

Taifa letu Tanzania baada ya miaka 30, amekuja kiongozi ambaye kama wewe ni mpenzi wakusikiliza hotuba za hayati baba wa Taifa utagunduwa yote anafanya Rais wa sasa ndio yanatafasiri hotuba zake. DK Magufuli amekuja kipindi ambacho taifa lilikuwa lina muitaji. Tulifika mahali hata mwanafunzi anaye enda shule aliona hakuna maana yakwenda shule. Mkulima naye akaona hakuna haja yakulima, hivyo hivyo kwa wafanyakazi. Watu waliopewa nafasi za uongozi wakala bata nakuwasahau wanyonge. Ama kwa hakika taifa lilikuwa lanuka harufu ya watu wamejichokea.

Ndugu wa Tanzania tena hasa vijana, huu ni wakati muwafaka kumtumia rais tulie naye kubadilisha sura ya taifa hili. Badala yakumkosoa tupeleke mawazo yetu ni kifanyike kubadilisha taifa hili ili atakapo maliza muda wake taifa lisirudi kule tulikuwa. Taifa hili linatuitaji vijana kuamka nakulijenga kwa nguvu zote pasipo kuangalia itikadi zetu za vyama na dini, dunia itatuzomea pindi huyu mh Rais ataondoka nakutuacha hatujatoka. Ajira zitafunguka nying lakini je umejipanga kulitumikia taifa au kulipiga taifa?

Taifa la Tanzania kwa sasa lina mzigo mkubwa wa vijana wavivu. Ambao hakuna mwekezaji atatamani kufanya kaz na watu wa aina hiyo. Jambo hili ni mtihani mkubwa kwa rais na taifa kwa ujumla maana imeleta wageni weng ndani ya taifa jambo ni hatari kwa taifa.

Tunaweza kumpiga mawe mengi rais wetu kwa ujinga wetu ila tukumbuke taifa hili ni letu sote na nafasi Mungu ametupa nivyema tukaitumia kujenga taifa lenye matumaini tena huku tukitibu makovu ya kule tumetoka.

Tumsaidie Mh Rais pamoja na viongoz wa taifa hili kulijenga taifa hili nasio kugawana fito. Vyama vya siasa kosoweni lakini embu mumuogope Mungu pale mnabeza juhudi za mh Rais na chama chamapinduzi kwakweli haijeng sanasana inaleta uchungu maana tunashindwa kujuwa ikiwa kweli dhima ya upinzani ni kukosoa palipo ukweli au kukosoa ili taifa lisiwe na amani.

Zanzibar nilazima wajuwe kuwa nje ya muungano hakuna taifa la Znz. Vijana wa Znz na tanganyika nilazima wakumbuke hakuna alilo lisema mwl Nyerere litapita ikiwa hatutoshituka nakuziba nyufa taifa litakuwa vipande vipande. Tukumbuke umoja wetu ndio nguvu zetu. Tusiwashe moto karbu na mapipa ya petrol maana tutaangamia sote!
 
Wow, I give you my hand cos you deserve a pound. Merci becoup.... Mwaaah.
 
Mh ni Ngumu kumeza
 
Zanzibar hawataki kujitenga. CUF wanataka kuiongoza Zanzibar. Uliwaambia vyama vingi vinaruhusiwa. Lakini CUF wakishinda,hutaki kuwapa ushindi,unataka""kulinda Mapinduzi ya Januari 12"".
 
Tatizo wamesahau kuwa shilingi ina pande mbili mkuu.
 
Back
Top Bottom