Ujumbe kwa "Bikira Maria," Usinitokee mafichoni

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,284
If you are real usitokee watu mafichoni, vyumbani ,misituni, kwenye mapango. Vinginevyo hadithi hizo za UONGO. Siku ukitaka kunitokea mimi sema tukutane wapi. In a public spectacle. Watu wakuonene na utoe ujumbe kwa ainabinadamu. Mambo hayo ya Lourdes,Medugorje, Kibeho, Fatima, ambayo Vatican imetumia pesa nyingi kwenye INVESTIGATIONS mimi siyataki. If you are real token kwenye public kama huyo mwana wako Yesu Kristo aliyefanya public ministry . Vinginevyo hadithi hizi za matokeo ( apparitions) za Bikira Maria ni ugonjwa wa akili tu (schirophenia) ya hao waonaji (visionaries).
 
We ndo ueleweki unataka bikra malia akutokee kariakoooo kwa nini akutokee wakati hata humuamini wala humuabudu......noon..
She has to prove it to the public. Yesu alikuwa na public ministry. Huyu Maria wa kujificha mara mapangoni huko Lourdes, mara kwenye vicarage uko Lourdes, mara kwenye vikanisa huko Medugorje ni ugonjwa wa akili. Mimi ni mkristo lakininmambo hayo yavkikinga sikubaliani nayo.
We utakuwa mali kwa rasi...
 
Kama yupo in a spiritual realm, whatever it means ujumbe wangu umemfikia na wafuasi wake. Nataka tu tuweke mambo sawa
 
Ukiwa na imani omba atakutokea amini
 
Kwa mkwara huo hata ukimuomba bibi yako mzaa baba akutokee ambaye bila shaka yoyote aliwahi kuwepo hatakusikiliza sembuse huyo uliyemsoma tu kwenye vitabu ukaamini yupo.
 
Hata Jibril alitakiwa amtokee Mohamed hadharani ila akamtokea Pangoni. Lakini humuombi akutokee maana utachezea kichapo.
 
unaelekea kwenye kukufuru sasa
 
Gentleman,
kwani kakulazimisha nani uyatake hayo ya Maria?

na wewe si uanzishe utaratibu wako, kulikoni ubabaike na utaratibu wa wenyewe hali ya kua uko huru na una haki ya kuanzisha utaratibu wako na familia yako kuamini utakacho bila kutumia gharama inayokukera kama hao Vatican?

mbona mie naona ni rahisi tu kuliko unavyobabaika na kumbwelambwela jukwaani?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…