Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,907
Kama hujui Kiingereza umesikitishwa na kulizwa na nini?daaa.! huu ujumbe umenisikitisha sana na umenifanya nilie.
(sijui kingereza)
Ujumbe wako mzito sana sheikhTuliopoteana tukutane hapa kwa bujibuji!
Thank you mkuu
Awww.. Happy birthday mkuu. Endelea kumfanya wifi ajione ni wa thamani kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema umezaa na Best friend wako mkuu, au mie ndo sloo lena
Yaan, kiufupi. bi shosti anamsifia jamaa. Jinsi anavyo mkaza ....
Binadamu anapenda sana kudanganywa ..