njechele06
Senior Member
- May 21, 2013
- 195
- 40
Hawa watu waccm wanaota sana, wanadhani wataendesha nchi kwa vitisho na ugangwe, kweli karne hii unaletea wananchi ugangwe, unawaletea walipakodi ..watu wanaovuja jasho lao kukushibisha wewe Nchimbi na serikali yako, na yule raisi wako kama kipepe, hivi kweli mtaweza na vitisho hivi katika karne hiiii?
Kweli aliye zoe vya kunyonga vya kuchinja hawezi.
Watoto wetu tutawaambia haya, wasikubali kuonewa hata kidogo na serikali ya ccm, na wawaambiae watoto wawatoto hayo.
Wanadanganyana hao, nchi ipo makini kuliko wanavyofikiri wao
Wapuuzi wachache kama hao ni kuwakamata na kuwanyonga hakuna kuwapa nafasi ya kuishi wachochezi kama hao.Ua kwa manufaa ya nchi tumechoka na kila mtu kujiona mbabe
Hili jambo sio dogo hata kidogo!
Utasababisha watu wang'olewe kucha bila sababu za msingiHatua za kisheria zichukuliwe kwa hao wanaochochea ujinga huo
Bila shaka utakuwa mjumbe wa NEC wewe, tena kutoka mkoaWapuuzi wachache kama hao ni kuwakamata na kuwanyonga hakuna kuwapa nafasi ya kuishi wachochezi kama hao.Ua kwa manufaa ya nchi tumechoka na kila mtu kujiona mbabe