Wafuate katiba! Imeelekeza NUSU MLINGOTI! Mambo mengine ya mtu mmoja mmoja hayapaswi kuwa MARUFUKUWe sio mzalendo kwa msiba huu unataka ukapige kwaito ?!!aah sio kweli ..huu in msiba mkubwa mno umetukuta tuvumilie tu siku rasmi ziishe mtaendelea na myatakayo.
Katiba imepitwa na wakati,ndio maana tuna mchakato was kuibadili baadae,mengine ni kufikiri tu kwamba haifai kusherehekea kipindi hiki,vumilienini tu bado tuna majonzi hata kama tamaduni zenu huwa kwenye msiba mnafurahishana kwa hili hapana.Wafuate katiba! Imeelekeza NUSU MLINGOTI! Mambo mengine ya mtu mmoja mmoja hayapaswi kuwa MARUFUKU
Inchi inaongozwa na katiba IPI kama hii iliyopo unasema imepitwa na wakati,?Katiba imepitwa na wakati ,
Katiba imepitwa na wakati,ndio maana tuna mchakato was kuibadili baadae,mengine ni kufikiri tu kwamba haifai kusherehekea kipindi hiki,vumilienini tu bado tuna majonzi hata kama tamaduni zenu huwa kwenye msiba mnafurahishana kwa hili hapana.
Hukuona wabunge walivyoshangilia kwa vifijo na nderemo wakati wa kuapishwa wabunge wapya. Maombolezo hayalihusu bunge? Uzalendo ni nini?We sio mzalendo kwa msiba huu unataka ukapige kwaito ?!!aah sio kweli ..huu in msiba mkubwa mno umetukuta tuvumilie tu siku rasmi ziishe mtaendelea na myatakayo.
Inashangaza kwakweli, wao walipiga makofi na vigelegele, wakati huo inje BENDERA za ziko NUSU MLINGOTI!Hukuona wabunge walivyoshangilia kwa vifijo na nderemo wakati wa kuapishwa wabunge wapya. Maombolezo hayalihusu bunge? Uzalendo ni nini?
Labda bao la mkono! Lakini la uwanjani lazima kushangiliaNa mechi ya simba kesho hakuna kushangilia goli likiingia unatakiwa kuwa kimya.ole wako ushangilie
Vivyo hivyo kumbukumbu ya kufufuka kwa YESU KRISTO hushangiliwa kwa shangwe kuu kwani ni MWOKOZI. Matrampeti, ngoma , na vyombo vyote vifaavyo kutoa sauti njema vitavurumishwa kwa sauti kuu.Labda bao la mkono! Lakini la uwanjani lazima kushangilia
Ile sio sherehe Bali ni shughuri,sherehe ndio zenye mushkeliHukuona wabunge walivyoshangilia kwa vifijo na nderemo wakati wa kuapishwa wabunge wapya. Maombolezo hayalihusu bunge? Uzalendo ni nini?
Kwahiyo vigeregere vya kwenye shughuli ni tofauti na vigeregere vya sherehe ya kupalizwa YESU Kristo?Ile sio sherehe Bali ni shughuri,sherehe ndio zenye mushkeli
Ndio,Ila nasikia mama karuhusuKwahiyo vigeregere vya kwenye shughuli ni tofauti na vigeregere vya sherehe ya kupalizwa YESU Kristo?
Hakuna cha kuruhusu wala kukataza! Bali Tuangalie KATIBA INASEMAJE!Ndio,Ila nasikia mama karuhusu
Ha ha haaaaHakuna cha kuruhusu wala kukataza! Bali Tuangalie KATIBA INASEMAJE!
Hii siyo bonus ni Haki ya wanainchi kuheshimu katiba!
Bila hivyo iko siku kuna tamko litatolewa usilale na wake zetu! Kama tutaendekeza maoni binafsi
Ndo ukweli huo! Hata wakikukamata hawana cha kukushitaki zaidi watumie mahabusu ya polisi kama fimbo lakini kisheria hawana cha kufanya! Vinginevyo wakubambikie kesi!Thread yako ina make sense
Uko sahihi kwa 100%. Kiukweli polisi wetu wameonesha upeo mdogo sana wa kufikiri! Unaposema maombolezo ya kitaifa ya siku 21, maana yake ni bendera kuendelea kupepea nusu mlingoti, timu zetu za Taifa kuvaa vitambaa vyeusi, na pia kutoa dk 1 kumkumbuka marehemu katika matukio/mikusanyiko yenye ulazima wa kufanya jambo hilo!Wafuate katiba! Imeelekeza NUSU MLINGOTI! Mambo mengine ya mtu mmoja mmoja hayapaswi kuwa MARUFUKU
Mimi nishaandaa mbuzi! Siyumbishwi na kelele za kijinga utazani wanawaambia watoto wao!Uko sahihi kwa 100%. Kiukweli polisi wetu wameonesha upeo mdogo sana wa kufikiri! Unaposema maombolezo ya kitaifa ya siku 21, maana yake ni bendera kuendelea kupepea nusu mlingoti, timu zetu za Taifa kuvaa vitambaa vyeusi, na pia kutoa dk 1 kumkumbuka marehemu katika matukio/mikusanyiko yenye ulazima wa kufanya jambo hilo!...