Ujue mumeo kaumizwa

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,867
Reaction score
6,881
Hii ni kwa kinadada wote...ukiona kuanzia j.3 ya terehe 9 mumeo au boyfriend wako au mchumba wako yuko busy na simu na hajatulia kiakili, jua kabisa *kuna mwanamke ameshafika ofisi za Makonda kudai matunzo ya mtoto*
 
Mbona unatuchomea mkuu?
 
Paulo akituita akae na mashine za DNA kabisa, tustake kupotezeana muda..
Aandae na Perdiem zetu pamoja na nauli za kuturudisha makwetu.
 
We naye una maliza chaji za iPhone yetu.... [emoji23] [emoji1] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…