Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,038
- 15,289
Mkuu Sergio Perez (checo) sio dereva mdogo, ni 33yrs. Labda ulikuwa unazungumzia Max Verstappen ( 25yr) ndio dereva wa moto sio redbul racing tu bali ndio the best F1 driver at the moment.. Kijana ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119]Team RedBull Racing wana madereva wamoto sana kama yule dogo SERGIO PEREZ..anaweza sana
Thanks..kwa kumbukumbu ni maxMkuu Sergio Perez (checo) sio dereva mdogo, ni 33yrs. Labda ulikuwa unazungumzia Max Verstappen ( 25yr) ndio dereva wa moto sio redbul racing tu bali ndio the best F1 driver at the moment.. Kijana ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu Ferrari wanachangamoto nyingi, strategywise wako very poor, last year wamefanya mistake nyingi sana. Japokuwa wamefanya changes kama kumuondoa Binoto ila bado sidhani huu Mwaka watachukua ubingwa.Yes mkuu Nami ni mpenzi sana wa F1, mimi ni Red team na Monza GP ndio HQ yetu, ninajifunza mengi nikiwa dereva hasa uendeshaji kama breaking zones, driving lines, overtaking, defensive driving, hope's mwaka huu tutabeba ubingwa wote yaani construction na dereva bingwa;Muda sio mrefu kipenga kitalia kuanzia Australia, Africa bado hatuna hii baada ya [emoji1656] kufanya yao (ngozi hii ni shida kubwa)
Duniani kuna michezo mingi
Max(Dutch young driver) ni mtu hatari sana. Yule dogo sikudhani kama atakuja ku maliza utawala wa lewis Hamilton, ila Kwa Sasa imebaki history. RB racing team wakiendelea kuteneneza machine nzuri nadhani ataenda kuvunja rekodi nyingi za haya mashindano ya vyombo vinavyoenda Kwa Kasi zaidi hapa dunianiThanks..kwa kumbukumbu ni max
Mkuu ukifanikiwa kuujua huu mchezo hautojutia. Hata football ikasome, mchezo una passion ya hatari huu[emoji119][emoji119]Duniani kuna michezo mingi
Mkuu Ferrari wanachangamoto nyingi, strategywise wako very poor, last year wamefanya mistake nyingi sana. Japokuwa wamefanya changes kama kumuondoa Binoto ila bado sidhani huu Mwaka watachukua ubingwa.
RB racing team bado Wana nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wao both driver's and constructors
Nakubaliana nawe ,Ferrari mbinu zilituchanganya mno,tulifanya vizuri races za mwanzo ,kama Arsenal tukaanza kujiua enyewseason e, t

Enzi za ujana wetu bingwa wa mchezo huu alikuwa ni Michael Schumacher, Mjerumani. Juzi juzi alipata ajali ya mgongo alipokuwa anafanya mchezo wa kuteleza kwa kutumia mabongo kwenye barafu ya milima ya AlpsNi wachache wanaofatilia mchezo huu ukilinganisha na michezo mingine.
Kitu ambacho wengi tunachofikiria ni mchezo kama mchezo wa mbio za magari.
Ni kweli ni moja ya mbio za magari ila mchezo huu wa Formula One.
Unaangaliwa zaidi:
*Teknolojia za injini
Mchezo huu upata washiriki wengi wanaotengeneza injini zao zenye uwezo mkubwa kiteknoljia ili kuonesha nani ni bora .mfano honda,bmw,toyota,ferrari na n.k
*Uzoefu wa madereva
Mchezo huu uchukua madereva walio na uwezo wa kuendesha magari haya kwenye mashindano ili kujua wanaweza kuimili njia na teknolojia ya magari F1.
*Biashara za makampuni
Sio lazima kuwa mtengenazaji wa injini wala gari. Makampuni mengi ujitangaza kwenye bidhaa zao nao kuweka magari na madereva mfano kampuni ya Redbull, shell, BP, emirate na n.k.
Miaka 9 iliyopita ndo juzi juzi? Unaishi sayari ipi?Enzi za ujana wetu bingwa wa mchezo huu alikuwa ni Michael Schumacher, Mjerumani. Juzi juzi alipata ajali ya mgongo alipokuwa anafanya mchezo wa kuteleza kwa kutumia mabongo kwenye barafu ya milima ya Alps
Unaweza kusoma taarifa zake hapa chini
Inasikitisha sana.wewe mwenye maelezo marefu tunaomba utueleza hapa.uliombwa kutukanaYani hapo ndo umeelezea nini? Hivyo viparagraph viwili vitatu ndo vinatosha kumuelewesha mtu about F1? Futa huu upuuzi mapema sana na ukajipange upya. Ni aibu kwa sisi wapenda F1 kuona upumbavu kama huu
Miaka tisa kwa kitu gani? Huyu ameanza kushiriki masnindao ya formula one kwenye early 90"s; possibly kabla hata wewe hujazaliwa. Dot com wote walikuwa bado hawajazaliwa kwa sababu rekodi zinaonyesha kuwa Tim Berners Lee aligundua dot com mwaka 1992Miaka 9 iliyopita ndo juzi juzi? Unaishi sayari ipi?
NebulaMiaka 9 iliyopita ndo juzi juzi? Unaishi sayari ipi?