chambulilo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 217
- 38
Ndugu wanajamvi!
Hali ya kisiasa katika jimbo la Shinyanga mjini imezidi kuimarika kwa upande wa CCM na kuwa mbaya kwa wana UKAWA.
Awali kabla ya ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA, UKAWA walikuwa na nguvu kubwa kiasi cha kutishia uendekezo wa CCM kulitawala jimbo hili.
Hivi sasa kila kona ya mji wa Shinyanga gumzo ni Magufuli na mbunge anayemaliza muda wake, Mhe. STEVEN MASELE.
MASELE anatajwa na wananchi wingi kama mbunge kijana shupavu aliewaletea maendeleo lukuku wananchi wa Shinyanga ndani ya miaka Kitano tu.
MAGUFULI anatajwa kama kiongozi asiyetetereka na mwenye kusimamia kanuni na sheria.
Kifupi ni kuwa UKAWA hawana chao katika uchaguzi huu hapa Shinyanga.
Kwa ujumla kanda ya ziwa magufuli ananguvu sana huyu fisadi Lowasa lazima akae tu.

Shinyanga mjini ni miongoni mwa miji ya zamani sana hapa Tz lakini mpaka leo hauna maendeleo yoyote !!!Bob Makani (RIP)alijaribu sana kuwaamsha lakini wapi !!!hakuna uhusiano wowote na ujio wa Lowassa jamaa hawana mwamko tu
chambulio wewe ni mwongo Sana ccm haina chake hapa Shy, Solwa, kiahapu na kahama hizo habari umetoa wp usiudaganye Umma wa jf ccm haina chake mkoa mzima wa Shy au na habari za ushetu na msalala huna Kule Kule ndo kabisa ccm kufikisha angalau kura Mia ni muujizaNdugu wanajamvi!