Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,686 Dec 18, 2012 #1 mnaiga magazeti? igeni na kujenga underground train ndio tuwaone kuwa nyinyi mpo makini
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,575 Reaction score 18,003 Dec 18, 2012 #2 Mmiliki wake na mlengo wake tafadhali?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,686 Dec 18, 2012 Thread starter #3 Mshuza2 said: Mmiliki wake na mlengo wake tafadhali? Click to expand... linamilikiwa na kampuni ya Jambo concept Tanzania. litakuwa linatoka kwa mwezi mara mbili ni la kibiashara na litakuwa linagawiwa BURE.
Mshuza2 said: Mmiliki wake na mlengo wake tafadhali? Click to expand... linamilikiwa na kampuni ya Jambo concept Tanzania. litakuwa linatoka kwa mwezi mara mbili ni la kibiashara na litakuwa linagawiwa BURE.
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,254 Dec 18, 2012 #4 did you say jambo?nahisi jamba leo wanahusika humo,..