Mgongo wa paka
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 485
- 36
vilaza wenye hasira na cuf kazikwenu
haya ni majaribu tu tutashinda 2015 na watu kushangaa cuf kutinga ikulu.
cuf haijavua gamba bali imebabua ubongo
Wao wanaita "WANAJIPUNYUA MANYOYA" , watalaamu wa viumbe mtujulishe CUF ni kiumbe gani?
Bila shaka panapo majaaliwa Professor Ibrahim Haruna Lipumba tutankarisbisha nyumba kwa shangwe na nderemo. Huyu hasa ndie awe Raisi wa taifa hili maana ni mtu mwenye upeo wa juu kabisa. CUF wapo juu kabisa na nawaomba muanaglie polss zinasema nini badala kukaa mukipotosha. Hhahahahahahhaha.
CUF ni maiti iliyoanza kunuka uozo, mpokeeni vema na mkabithini Prof mzoga huu wa CUF akauzike mbali huko.