Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,612
Suala zima hapo ni tactical understanding of how attack inakuwa affected ukizingatia wale wanao mzunguka.Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.
1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!
Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position
2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Walio wengi wanarudisha mpira nyuma au kupotezz kabisa!Suala zima hapo ni tactical understanding of how attack inakuwa affected ukizingatia wale wanao mzunguka.
Pamoja na misema hayo, majukumu kuu ya winger ya abaki pale pale, 1v1 mchekue beki, kumwaga maji na pia kuwa na as many touches in the opponents half. Sasa huku kwetu inverted au sio inverted touches nyingi unakuta zipo kwenye nusu yake.
Last week doku wa man city aligusa mipira 87 ni miwili tuu ilikuwa kwenye nusu yake na 27 ilikuwa ndani ya opposition box.
Bottom line ni kwamba winger shuld offer penetration basi.
Moja ya sababu za inverted unakuwa una shambulia mguu dhaifu wa fullback. Na pia mara nyingi hawa wanakuwa sio wazuri katika kupiga cross lakini wako vizuri kwa mashutiWalio wengi wanarudisha mpira nyuma au kupotezz kabisa!
Hili lilijaribiwa kwa Aziz Ki na lilifeli vibaya Yanga wakakaachana nalo!
Saka wa Arsenal anaweza kuwa na mchango makubwa mara dufu ya Sasa kama atacheza wide left!
Makocha wanajua zaidi, yatosha tubaki kuwa wapiga kelele tu.Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.
1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!
Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position
2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Kama wanajua, kwa nini wanatimliwa?Makocha wanajua zaidi, yatosha tubaki kuwa wapiga kelele tu.
Mambo yanabadilika mkuu, zamani kulikuwa na goli la dhahabu kwasasa hakuna!!Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.
1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!
Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position
2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Pamoja na mambo kubadilika, kuna i kuu za uchezaji zinabaki pale pale; shinda mapambano ya 1v1, angalia kucheza mbele haraka iwezekanavyo etc.Mambo yanabadilika mkuu, zamani kulikuwa na goli la dhahabu kwasasa hakuna!!
Zamani sub zilikuwa 3 sasa 5
Hivyo hivyo kwenye mifumo ya uwanjani nayo inabadilika!
Siku hizi kipa lazma ajue kupiga pasi wakati zamani akina Oliver Kahn, Edwin Van Der Sar, Dida, Barthez walisifika kwa udakaji na saves za kutosha!
Mambo hubadilikaβ¦
Hapo kwenye 2. hebu tupe mfano tucheke.Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.
1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!
Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position
2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Hili lipo sana premier league.Hapo kwenye 2. hebu tupe mfano tucheke.
stick togetherHili lipo sana premier league.
1. Match ya Arsenal v Southampton ulikuwa unaona walinzi na golikipa walivyokuwa Wanalazimisha kuanza ndogo ni every time waliishia kupoteza mpira
2. Mwamunyeto wa Yanga Yuko radhi umuweke benchi kuliko kumuanziashia mipira hii!
Katika modern futball lazma tutumie inverted wingers,hii inasaidia kudistruct defence ya mpinzani ,press higher na idadi ya player kweny Mido,kumbuka kubreak lines kwa timu inayokabia juu ni ngumu ndiposa lazma uwe na beki zenye unyumbulifu na speed kupitia pembeni .Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.
1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!
Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position
2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Nadhan jamaa anatakiwa aweke topic mbili Winger na wingback ( invert line press to Midifield) kiuhalisia hawa ni mabeki wa pembeni LB na RBHuo mfumo ni mzuri, maana badala ya wingi kua mpiga krosi hiyo kazi anamwachia beki 2 au 3...
Yeye kazi yake inakua ni kuingia ndani na mpira, na hii inampa nafasi ya kuutumia mguu wake wenye nguvu kwa usahihi...
Angalia uchezaji wa CR7...
Kinachowaangusha wachezaji wetu ni viwango duni sio mfumo.