Ujinga unakaribia kufika mwisho

ngivingivi

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
189
Reaction score
109
Watanzania wa leo sio wa miaka ile wamebuluzwa sana lkn naona sasa wamekaribia ukingoni, "so wait for revenge" "enough is enough" historia itawahukumu wanafiki wote, Mungu tusaidie kwani ni hatua ngumu kuivuka.
 
nakubaliana na mtoa mada. kingunge alisema ccm wana mbinu mia moja hapo wametumia moja tu. that means hakuna mwaka ccm itang'olewa. ninachoamini mimi ni kwamba, imefika wakati na Mungu amechoka na ccm, Mungu mwenyewe atashuka kuwakomboa watanzania. Mungu anajua atawakomboaje watanzania. kilio chao kimemfikia Mungu.
 
Kila kilicho na mwanzo hakikosi kuwa na mwisho wake kikubwa ni kutokukata tamaa katika maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…