nimecheka Sana,nakumbuka juzi nilikosea,kumbe ndo maana akawa ananiuliza Mara mbilimbili nini???Ujinga ni pale:-
Unapoomba namba ya Password ya WiFi. na Kuandika Naomba namba ya Wife kwa rafiki yako.😉😛😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji116]Ujinga ni pale unapomwita "Mume wa mtu"
Mume wako, wakati unajua wewe ni mchepuko na mbaya zaidi
wamefunga ndoa ya kanisani na mke wake
utazeekea kwenu ukiwa hujaolewa
nimecheka Sana,nakumbuka juzi nilikosea,kumbe ndo maana akawa ananiuliza Mara mbilimbili nini???
Mida ya Wanga tupo wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji116]
Kuna kitu si bureMida ya Wanga tupo wengi
Hamna kitu. Ngoja nilale usije leta story zako zile. Nikaogopa kulala mwenyewe maana wewe huchelewiKuna kitu si bure
[emoji2] [emoji2] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Hamna kitu. Ngoja nilale usije leta story zako zile. Nikaogopa kulala mwenyewe maana wewe huchelewi
Duuuuh[emoji15] [emoji15][emoji2] [emoji2] [emoji81] [emoji81] [emoji81] View attachment 501973kumeshapambazuka
[emoji2] [emoji2] [emoji81] [emoji81] [emoji81] View attachment 501973kumeshapambazuka
bora nilivyolala mapema kabla ya kuiona hii pic. Ningekoma[emoji2] [emoji2] [emoji81] [emoji81] [emoji81] View attachment 501973kumeshapambazuka
Ujinga ni pale unapomuona msichana unampenda kwa moyo mmoja unaamua kumuomba namba ya simu ya yeye bila hiyana anakupa, ukifika home unamtumia sms ya kueleza dhamira yako ya upendo wako kwake, sekunde inaingia meseji, unafurahi kuwa umejibiwa, unaamua kwenda kuoga na kula then unakaa kwenye sofa ukiwa tayari kusoma sms ambayo kwa asilimia zote unajua ni majibu ya ombi lako kwa yule demu halafu unakutana na sms hii kutoka TIGO: SALIO LAKO HALITOSHI KUTUMA MESEJI